Kutibiwa meno kwa bima

Mkuu nenda Tiba health care. Omba appointment na Dr Tatheer. Yule mhindi mtaalam sn
 
Nenda pale Omega dental pale Magomeni usalam jengo la Utumishi house kwa pembeni wapo floor ya tatu ukifika tu kituo cha daladala Magomeni usalama.
 
Meno yamefanyaje unataka kung'oa au?
 
Meno yamefanyaje unataka kung'oa au?
Hapana nataka nizibe, nimeambiwa kuna mawili kuziba moja kwa moja ama ile ya temporary. Ila ni hospital ipi wanafanya hivyo kwa bima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…