Elections 2010 Kutibu Majeraha ya CHADEMA

Nick

Member
Joined
May 18, 2009
Posts
55
Reaction score
7
Tunashukuru uchaguzi umeisha salama bila vita au fujo kubwa. Kwa kuwa ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa na mizengo hata kupelekea CHADEMA na wanachama, mashabiki na wananchi kwa ujumla wao kuamini hawakutendewa haki. Hivyo ili CCM iwezekuongoza na wala sio kutawala kama walivyozoea watafute namna gani watawashirikisha kwenye uongozi. Nadhani wangepewa spika wa bunge nchi ingelikua na amani zaidi. CCM wafanye mbinu zote kuhakikisha spika ni Dr. Slaa. Kama kigezo ni lazima awe mbunge ateuliwe na raisi kati ya kete zake kumi. Hii itakuwa imepunguza majeraha ya CHADEMA na CCM kuweza kuongoza nchi kwa amani na heshima kwa wananchi wote
 

Wazo zuri.
 
Ati CCM WEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!Lakini na ndoto za mchana nazo RUKHUSA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Mh hapana. Binafsi nadhani Dr anatakiwa zaidi huku mitaani kuja kujenga chama..
 

Hatutaki!!

Tunajua walivyomfanya Zito Kabwe.

Slaa hatolala njaa kwa sababu ya maovu muliowafanyia Watz. Wala watoto wake hawatakosa kwenda skuli.

Tuacheni na Dr. Slaa wetu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…