Kutibu maji ya kunywa

Kutibu maji ya kunywa

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,315
Wakuu ndugu zangu.Ninaomba kujua njia mbadala ya kuyatibu maji kwani sijaona faida ya kutumia wota gadi.

Nisaidieni wakuu
 
Nasikia mlonge ni kiboko yake sasa sjajua unawekea majani/maua/magome/mti wenyewe/mizizi/unga wa mizizi kwa7bu yote ni dawa ngoja tumuite Dr
MziziMkavu uuuuuuu!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, BINAFSI nayaamini tu maji ya KUCHUJWA. Jitafutie filter nzuri na uitumie bila kuongeza madawa mengine. upo wapi?


Ultra_filtration_water_filter.jpg
 
Back
Top Bottom