Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,315 Apr 21, 2013 #1 Wakuu ndugu zangu.Ninaomba kujua njia mbadala ya kuyatibu maji kwani sijaona faida ya kutumia wota gadi. Nisaidieni wakuu
Wakuu ndugu zangu.Ninaomba kujua njia mbadala ya kuyatibu maji kwani sijaona faida ya kutumia wota gadi. Nisaidieni wakuu
Gody JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 1,246 Reaction score 413 Apr 21, 2013 #2 Nasikia mlonge ni kiboko yake sasa sjajua unawekea majani/maua/magome/mti wenyewe/mizizi/unga wa mizizi kwa7bu yote ni dawa ngoja tumuite Dr MziziMkavu uuuuuuu!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nasikia mlonge ni kiboko yake sasa sjajua unawekea majani/maua/magome/mti wenyewe/mizizi/unga wa mizizi kwa7bu yote ni dawa ngoja tumuite Dr MziziMkavu uuuuuuu!!
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 993 Apr 21, 2013 #3 Mkuu, BINAFSI nayaamini tu maji ya KUCHUJWA. Jitafutie filter nzuri na uitumie bila kuongeza madawa mengine. upo wapi?
Mkuu, BINAFSI nayaamini tu maji ya KUCHUJWA. Jitafutie filter nzuri na uitumie bila kuongeza madawa mengine. upo wapi?