health
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 325
- 39
Hello mwanajamii.
Napenda kukushirikisha huduma nzuri yenye uwezo wa kumsaidia mtu ambaye anapambana na kisukari aina ya pili. Karibu upitie haya maelezo nliyoandaa kwa ajili ya jamii kwa ujumla pia waweza kushirikisha jamii nyingine iliyo mahali popote kwa manufaa ya wote. Zipo huduma za aina nyingine tofauti na hii na nakaribisha pia maoni na maswali mbalimbali kuhusu utoaji wa huduma.
LOWGAR
Bidhaa hii inatibu kisukari aina ya pili(Diabetes mellitus).
KISUKARI
Kisukari cha aina ya pili kinatokana na lishe mbaya ya vyakula na ulaji mbaya wa vyakula pasipo na mpangilio.
Chakula kikiingia tumboni husagwa na kuwa sukari(Glucose) na kiwango cha sukari kikiwa juu kwenye damu unapata tatizo la kisukari.
Homoni zinazosawazisha kiwango cha sukari mwilini ziko aina mbili:
v Insulin
v Glucagon
Mambo yanayosababisha ugonjwa wa kisukari;
Kongosho halifanyi kazi yake vizuri, ikiwa inatoa insulin, glucagon kwa kiasi kidogo au kutotoa kiwango sahihi.
Kula vyakula vyenye sukari nyingi
Kutofanya mazoezi
Kurithi kutoka kwenye ukoo
Matatizo ya figo, pressure ya kupanda
Uzito mkubwa.
KISUKARI CHA KURITHI
Ugonjwa huu ni kongosho halijitengenezei insulin kubwa, hivyo kufanya mtu kutegemea
· Kuchoma sindano za kuongeza insulin
· Kutumia vidonge vya insulin.
DALILI ZA KISUKARI AINA YA PILI
o Kujisikia uchovu mara kwa mara bila hata ya kufanya kazi
o Kukojoa mara kwa mara
o Kupungua uzito wa mwili
o Kuhisi kiu mara kwa mara
o Kupunguza uwezo wa kufanya tendo la ndoa(wanaume)
ATHARI ZA KISUKARI
§ Kupungua uwezo wa kuona
§ Kupungua nguvu za kiume au kukosa kabisa
§ Pressure ya kupanda
§ Kutopona vidonda kwa haraka
§ Matatizo ya miguu.
Mwenye matatizo ya kisukari atumie product hizi
ü LOWGAR
ü REVIVE
CORDY ROYAL JELLY
GOLDEN SIX
REVIVE
Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.
KAZI YA REVIVE
· Kuongeza libido(ashiki au nyege)
· Kutibu impotence(mahanisi)
· Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37''C.
· Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
· Kutibu maumivu ya kiuno
· Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
· Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
· Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
· Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
· Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa
CORDY ROYAL JELLY
Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly – Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.
FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY
· Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
· Inaondoa cholesterol
· Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
· Ina faty Acid
· Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
· Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
· Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
· Inafanya damu kuwa nyepesi

· Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
· Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.
GOLDEN SIX
Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.
Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;
v Mishipa ya hisia
v Figo
v Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
v Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.
Utendaji kazi wa Golden six;
ü Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
ü Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
ü Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.
Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.
· Kuhisi uchovu
· Kutokwa na jasho sana
· Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.
Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;
Ø Kupoteza kumbukumbu
Ø Kutoona vizuri
Ø Misuli kukosa nguvu
Ø Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
Ø Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
Ø Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.
FAIDA ZA GOLDEN SIX
· Stroke(kupooza)
· Kukosa usingizi
· Hypomnesis
· Kupoteza kumbukumbu
· Kuumwa na viungo
· Kusafisha damu
· Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
· Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake
WASIOPASWA KUTUMIA
Wajawazito;
Ukitumia Golden Six mwili hutengeneza chembechembe nyeupe kwa wingi ambazo husaidia kinga za mwili, kwa hiyo mama mjamzito akinywa Golden six itasababisha kinga kuwa juu na kupambana na kiumbe kwa sababu ni kitu kigeni kwenye mwili, husababisha kutoka kwa mimba.
Ukiwa unahitaji ushauri au swali kuhusiana na product unaweza kunipigia kwa namba 0776491294 pia kuniandikia barua pepe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama ya LOWGAR ni Tsh 74500/- na REVIVE ni 70500/- CODRY ROYAL JELLY ni 78000/- na GOLDEN SIX ni 48000/-