:clap2::clap2::clap2:Wanawake wa leo wengi wao wapo kibiashara zaidi, na wanajua sera ya uwekezaji vizuri, wanajua kuwa ili umvutie mwekezaji na aje awekeze kwako, inakubidi utangaze vivutio ulivyo navyo. Hivyo kwao wanatangaza vivutio vyao kama vile kuchezesha makalio yao ili kuwavutia wawekezaji (wanaume) ili wakawekeze kwao! Hivyo wanafanya manjonjo ya kuchezesha hayo makalio kwa malengo maalum, ndo maana wanafanya hivyo wanapo waona wanaume wanawaangalia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Uwekezaji juuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!! kwa kifupi ni kwamba, Wanawake wameielewa zaidi sera ya uwekezaji kuliko wanaume ndo maana wapo tayari hata kutumia mitishamba ya china!!!!!!!:clap2::clap2::clap2: