Kutishia kurusha picha za uchi mtandaoni

Kutishia kurusha picha za uchi mtandaoni

Unaweza report kituo cha polisi, na kama unaushahidi wa text au calls (kurecord vitisho vyake) itakuwa vizuri.

Utapewa RB na atakamatwa then atahojiwa na ataonesha picha zipo wapi zitafutwa na anaweza chukuliwa sheria.

wanasheria wanaweza draw draft ya hadi jinsi ya kumtoa pesa huyo ndugu.

Other way around, unaweza tafuta vijana mkaenda kumalizana nae kistaarabu na akakoma maana nawewe utakuwa unazo zake.

Option ya kwanza nzuri zaidi.
 
Msaada ndugu zangu, kuna mtu anamtumikisha mke wangu kwa kumtishia kurusha picha za uchi za mke wangu mtandaoni, naomba mnisaidie ni wapi nianzie kumdhibiti huyu
Kazipataje picha za uchi za mkeo? Tuanzie hapo kwanza
 
Hivi kuna watu wangali wana fikra mbovu namna hii?Akirusha hizo picha atafaidika na nini?Iwapo kuna ushahidi mripoti polisi ili apatiwe "chai na boflo"!
 
Hizi ndoa hizi.

Kwanza nimpingeze mkeo kukwambia ukweli kuhusu ilo suala vinginevyo huyo mjomba angeakua anajipigia mbususu asubuhi mchana jioni kwa dhamana ya picha.

Fikisha hilo suala kwenye vyombo sahihi kama vile polisi na mahakama

Lakini kabla ya kufika huko. Andaa ushahidi usio na mashaka kwamba mkimpeleka huko hatoki jino moja yani usipofanya hivyo ndio zile utaambiwa kesi haina mashiko.

Au kama unamfahamu na wewe apply mob justice tu.
 
Nina demu mmoja jusi kaanzakunitukana. Bila Sabu na zarau juu wakt hajui kuwa wakt tukiwa kitanda tunachukuana video sas jus nikamuambia unanilete a zaru ngoja nifute hata picha zako ktk simu yangu bas kasema picha gani unazo wew mm nikamtumia piacha moja tu amabyo alipiga mwenye apo Apo akasima simu mkp sas HV siajmpata
 
Mtoa mada si bora ungesema ni dada yako tu ili kuficha uzwazwa ulio nao.
Vile utanchukulia ni sawa tu, unajua kila mtu ana changamoto zake, unaweza sema zako mwingine pia akakuona we zwazwa nae
 
Back
Top Bottom