Umeandika vyema sana ila apo kwenye "akiri" mtu wangu.Pamoja na ujinga wa samia na serikali yake hawawezi kufungia META hilo lilikuwa biti tu. Ukifungia META maanake unataka kuua makampuni ya simu. Kwa sababu income yao kubwa wanaipata kutokana na mauzo ya bundle, sasa mwananchi atanunua bundle la nini kama whatsapp,facebook, instagram hazipatikani??
Na serikali itakusanya kodi kiasi gani kutoka kwenye makampuni ya simu ambayo revenue yao imeshuka??
Hizi akiri ccm na serikali yake huwa wanazipata wapi??
Kama walifungia mitandao siku Sita. Hawashindwi wale.Pamoja na ujinga wa samia na serikali yake hawawezi kufungia META hilo lilikuwa biti tu. Ukifungia META maanake unataka kuua makampuni ya simu. Kwa sababu income yao kubwa wanaipata kutokana na mauzo ya bundle, sasa mwananchi atanunua bundle la nini kama whatsapp,facebook, instagram hazipatikani??
Na serikali itakusanya kodi kiasi gani kutoka kwenye makampuni ya simu ambayo revenue yao imeshuka??
Hizi akiri ccm na serikali yake huwa wanazipata wapi??
Kama tiktok inavyokula bando walivyoifungia kuna kitu kimepungua kwenye manunuzi ya bando za internet kwa wale wapenda TikTokPamoja na ujinga wa samia na serikali yake hawawezi kufungia META hilo lilikuwa biti tu. Ukifungia META maanake unataka kuua makampuni ya simu. Kwa sababu income yao kubwa wanaipata kutokana na mauzo ya bundle, sasa mwananchi atanunua bundle la nini kama whatsapp,facebook, instagram hazipatikani??
Na serikali itakusanya kodi kiasi gani kutoka kwenye makampuni ya simu ambayo revenue yao imeshuka??
Hizi akiri ccm na serikali yake huwa wanazipata wapi??
mke mdogo wa abdul kwenye ubora wake!Wametishiwa na account za huyo nyumbu mwenzenu kigagula mange zimefutwa , nyumbu mmezoea kufungia akili kabatini na kutumia akili za kigagula sijui hata kama mmebaki na akili ya kuvukia barabara
Kuna watu wanakuita baba?Wametishiwa na account za huyo nyumbu mwenzenu kigagula mange zimefutwa , nyumbu mmezoea kufungia akili kabatini na kutumia akili za kigagula sijui hata kama mmebaki na akili ya kuvukia barabara
Umeongea kitu chenye logic kubwa sana na sitaki kuamini kabisa kwamba hiki unachokisema Meta hawajakionaPamoja na ujinga wa samia na serikali yake hawawezi kufungia META hilo lilikuwa biti tu. Ukifungia META maanake unataka kuua makampuni ya simu. Kwa sababu income yao kubwa wanaipata kutokana na mauzo ya bundle, sasa mwananchi atanunua bundle la nini kama whatsapp,facebook, instagram hazipatikani??
Na serikali itakusanya kodi kiasi gani kutoka kwenye makampuni ya simu ambayo revenue yao imeshuka??
Hizi akiri ccm na serikali yake huwa wanazipata wapi??
Bora akili ya mange kuliko ya samuya aliyepata D moja tuu matokeo ya form 4!Wametishiwa na account za huyo nyumbu mwenzenu kigagula mange zimefutwa , nyumbu mmezoea kufungia akili kabatini na kutumia akili za kigagula sijui hata kama mmebaki na akili ya kuvukia barabara
Wana hongwaje na vitisho gani vya kutekwa, kulawitiwa, kupotezwa na kuuwawa?Umeongea kitu chenye logic kubwa sana na sitaki kuamini kabisa kwamba hiki unachokisema Meta hawajakiona
Ninacho amini Mimi ni kwamba meta itakuwa wamepewa 30percent Fulani ili wafungie hizo acc ila wanashindwa kuwa wakweli , Meta wame hongwa + vitisho
Wametishiwa na account za huyo nyumbu mwenzenu kigagula mange zimefutwa , nyumbu mmezoea kufungia akili kabatini na kutumia akili za kigagula sijui hata kama mmebaki na akili ya kuvukia barabara
Kwailo usibishe inawezekana kwani wao wanaangalia athari basi wao wanataka kutembea na vingora na kukwapua pesa za walipa kodiPamoja na ujinga wa Samia na Serikali yake hawawezi kufungia META hilo lilikuwa biti tu.
Ukifungia META maanake unataka kuua makampuni ya simu. Kwa sababu income yao kubwa wanaipata kutokana na mauzo ya bundle, sasa mwananchi atanunua bundle la nini kama whatsapp,facebook, instagram hazipatikani?
Na Serikali itakusanya kodi kiasi gani kutoka kwenye makampuni ya simu ambayo revenue yao imeshuka??
Hizi akiri ccm na serikali yake huwa wanazipata wapi??