Kutishiwa kupigwa risasi...naomba msaada

Kutishiwa kupigwa risasi...naomba msaada

JUKUMU

Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
85
Reaction score
39
Wanajamii,

Mimi ni mfanya biashara maeneo ya Arusha. Nimekuwa nikipewa vitisho vya kila aina hasa vya kupigwa risasi siku yeyote, nikariport police, ila nilichoambiwa kwa kweli kinakatisha tamaa. yaani police anakuambia hakuna ushahidi ama kielelezo cha kufuatilia hilo swala. Cha kushangaza zaidi niliwapa mpaka namba za simu pamoja na sms nilizotumiwa ila wakasema kwa kuwa me nataka kumfunga mtu.

Nikajaribu kumtumia huyo mtu pesa kama amejisali ili nijue ni nani, ili namba haijasajiliwa.Je nitumie njia gani ili kuweza kumjua huyo mtu? jamani naomba ushauri wenu, nakosa amani kabisa.
 
Back
Top Bottom