Kuto do kuna madhara yoyote kiafya?

Sasa kama haumwi kwanini usifanye wakau maramoja moja?
 
baba endelea hvohvo... Kwasababu hakuna dhambi ya makusudi kama ya kudo
 
hakuna madhara,mungu,engineer wa mwili wako anasema usizini(usi-do nje au bila ndoa)nawashangaa wanaosema kwa nini usi-do hata mara mojamoja?ni ukosefu wa maadili,kuchochea zinaa na kuporomosha maadili,pata picha huyo akiwa mzazi.
 
Kuto do hata kwa miaka 100(kama utaishi) haina madhara KABISA. Kwanza utajiondoa kwenye madhara... Utaepuka kuumizwa moyo wako kimapenzi na wapenzi feki waliojaa, utaepuka magonjwa ya zinaa na ukimwi.
Ila pia sahau KUPATA MTOTO kama huta do.
Ila ku do nzuri na salama, ni ile uwe umesubiri mpaka uwe umeoa/olewa (ambayo wengi tunashwinda)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…