Kutoa bao nje ukiwa kwenye mechi (6x6)

Malova

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
784
Reaction score
228
Ukiwa kwenye mechi (kula mahaba), halafu wakati wazungu(sperm) wanakuja ukatolea nje kwa lengo la kuzia mimba. Je kufanya hivyo kuna madhara gani kiafya na kimahaba? Mwenye kujua anijuze.
 
Hiki ndo kizazi cha nyoka. Chenye kufikiria utamu tuu wa raha ktk nchi ya asali na maziwa tanzania
 
mabata madogo dogo yanaogeleaaa yanaogeleaaaaaaaaaaaaa katika shamba zuri la bustaniiiiiiiiiiiiii...........!!!!!!!!!!!!!
Mkuu@Rose1980 Wanapenda kutembea bila viatu bila viatu katika shamba zuri la bustani.......................................... Wanalia kwakwa kwakwaa kwakwa kwakwaa katika shamba zuri la bustani................
 
Ukiwa kwenye mechi (kula mahaba), halafu wakati wazungu(sperm) wanakuja ukatolea nje kwa lengo la kuzia mimba. Je kufanya hivyo kuna madhara gani kiafya na kimahaba? Mwenye kujua anijuze.
Mkuu@Malova Haipendezi ni sawa sawa tu na mtu anayekula chakula kisha akajitia vidole rohoni ili apate kutapika asipate kunenepa je na hiyo pia inapendeza mkuu?
 
duh.!! Apo ndo umetoka kuamka unawaza hivyo sa mpka ifike usiku sijui itakuaje...
 
Mkuu@Rose1980 Wanapenda kutembea bila viatu bila viatu katika shamba zuri la bustani.......................................... Wanalia kwakwa kwakwaa kwakwa kwakwaa katika shamba zuri la bustani................

....kwa mbali bahariniiiiiiiiiiii....mawimbi yanatupeperusha.....
 
Bora piga punyeto / musterbation na yy apige kwanza mkono unabana na kuachia vizuri kuliko kupakana
Halafi someni leo mna test za Semister mnajua kuna Disco?
 
Ukiwa kwenye mechi (kula mahaba), halafu wakati wazungu(sperm) wanakuja ukatolea nje kwa lengo la kuzia mimba. Je kufanya hivyo kuna madhara gani kiafya na kimahaba? Mwenye kujua anijuze.

kama lengo ni kuzuia mimba, hapo utakuwa unatafuta ugomvi. Kwani zipo zitakazo wahi na hutaziona, bado wewe utaamini wazungu wametoka nje. So uwe tayari tu kulea.
 
Mkuu kama umecheza na DENT last 9t na ukafanya hivyo,then unaomba ushauri hapo andika UMEUMIA... Kama under 18 man kwa PILATO, na kama over 18 jiandae kulea..:nono:
 
He! kumbe hayo ndo majibu? hahahaha!
 
ndio maana tutakuwa tunasikilizia maendeleo kwenye bomba tu, just imagine mtu unaamka unaanza kuwaza ngono..God forbid..
 
hiyo inaweza hata ikawa kwako kwamba hupendi kuwa na watoto wanaofuatana kwa kipindi kifupi na ukaamua kutumia njia hii badala ya psi(condom). ndio nauliza ili nijue. maana hapa nimeuliza kama jukwaa la JF Doctor sijakurupuka. Hivyo ninahitaji kujia toka kwa JF Doctor, wewe mwignine kama hujui madhara basi ni bora ukakaa kimya. Ingekuwa ni swala tu la kufurahisha ningeandika kwenye jukwaa la Mapenzi na Mausiano
 
ndio maana tutakuwa tunasikilizia maendeleo kwenye bomba tu, just imagine mtu unaamka unaanza kuwaza ngono..God forbid..
wewe ungekuwa unawaza maendeleo hungekuwa JF saizi. Muda wa kuwaza ni sa ngapi hadi saa ngapi?
 
duh.!! Apo ndo umetoka kuamka unawaza hivyo sa mpka ifike usiku sijui itakuaje...
Hii ni kadiri yako. Mimi saizi ndio nalala. Muda wa kazi ni 8 hrs katk secta nyingi. Chukulia mimi ni polisi nilikuwa zamu usiku saizi nalala utasemaje?
 
kama unaogopa tumia ndomu mkuu.Kwanza inaletaga usumbufu katikati uchomoe dahh.Madhara ni kwamba utakuwa umejikojolea mwenyewe badala ya kumkojolea mtu.
 
jaribuni kuanadika vitu vya kusisimua. si chini ya kitovu siku zote. je, mmewaghi kufikiria kuhusu maendeleo. sex every time!! duh....! wabongo!!! nitajitoa katika hii JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…