Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
nimewahi kuandika humu sikupata attention. nimeona watu wanatafuta msaada wa figo kwa wagonjwa wao ambao baadaye wameripotiwa kufariki kwa kutozipata.
mimi niko tayari ku donate figo moja. kama kuna mwenye ndugu anaumwa kiasi cha kuhitaji figo, au mwenye kujua wenye shida hii wawasiliane nami kwa PM. nitasikia kwenu kitambo.