Kutoa harufu mbaya kwenye makende

kijembe

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
22
Reaction score
6
Jamani wana jamii kuna mtu hapa kila baada ya kuoga kama baada ya nusu saa ananuka mapumbu na kutoa ukoko kwenye pumbu nini tatzo?
 
Huyo atakuwa ana infection kali sana bila shaka ni fungus. Mshauri awahi sana kupata matibabu, kama ni fungi itakuwa kwenye stage mbaya sana.
 
Huyo mtu utakuwa wewe mwenyewe,umejuaje hiyo harufu au umeonaje huo ukoko au we ndo mambo ya Bakhresa kitu cha koni?
 
heheheheh....pole sana,ni fungus hizo
 
Huyo mtu utakuwa wewe mwenyewe,umejuaje hiyo harufu au umeonaje huo ukoko au we ndo mambo ya Bakhresa kitu cha koni?
Si kila ukijuacho kimekutokea wewe, kuna vingine vingine unavijuwa kwa kuelezwa, kuona au kusoma sehemu mbalimbali. Kwa mfano, wote tunajuwa kuwa gari likikugonga unaweza ukafa... NANI KATI YETU ALISHAWAHI KUGONGWA NA GARI NA AKAFA...??
 
Eczema/dermatitis, fungal infection? wahi hospitali.
 
Lol! Sasa kama ni mwenza wako ungesema ili tukushauri. Umejuaje harufu inatoka hapo? Kama unaweza kumuambia may be hajifuti vizuri na hajisafishi na face towel (madodoki ya kichina hayasaidii, cotton is the best), na kama anawashwa ama ana mabaka yasiyoisha anaweza kuhitaji daktari wa ngozi.
 
hehehe huyu inabidi achunguze majirani zake tu, nazani washamloga. Yaani kama makende yanatoa unga sasa bakhresa atoe nini?
 
pole zake awahi hospital maana kama ni fungus ni noma sana
 
Nafikiri omo au foma gold inaweza kumsaidia kumaliza hiyo harufu!!!
 
wewe utakuwa unavaa manguo mengi na huogi mara kwa mara na hunnyoi...
 
h ha ha... klorokwini unadhani haiwezi kumsaidia kupunguza huo unga?



mkuu Vinci kuwa honest, wewe ushawahi kuskia kende linatoa unga? iyo harufu si ishu sana lakini unga? khaa! uskute kumbe samtaimu kule kwa mama ntilie tunakula chapati za unga wa makende.
Balaa
 
Last edited by a moderator:
huyo jamaa kasoma Pugu nini? kuna kale kaugonjwa kao kanaitwa .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…