Kutoa hewa kubwa hadharani;utovu wa nidhamu;afya;ama kushindwa kujizuia

Kutoa hewa kubwa hadharani;utovu wa nidhamu;afya;ama kushindwa kujizuia

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kuna wakati ni vizuri tuanze kusaidiana kufundishana sasa pengine wamfundisha mtu lakini anaitaji kufanya kitendo kile mwenyewe aweze kujizuia.....kuna kijana hapa kwetu gorofani yeye akila asbh akiingia yaani utaza unapita tandika..saa basi si mbaya kutoa hewa kubwa swala ni je sehemu gani unatolea..kijana wetu amekuwa kila akijitahdi hasa anaishia kuzito hadharani leo ametoa mpya wakati watu wakila akaja na chakula ..kuna mdada akamuuliza nini tatiz a kadai yaani hata mie nashidwaga na kila ninapojisikia kuachia nakuta watu wamejazana na kujizuia nashindwa...KWANZA nampongeza ni wachache sana wenye kutoa hewa chafu asbh maana hii ni afya wengi nahsi awali breakfast nzuri ndio maana zinawaangaisha mara watembee kumbe tumbo linapumua kwa ndani...la pili ni hili tatizo lake kwa nini kila kukiwa na watu ndio anasikia hali ya kuachia co2
swali je mdogo wetu huyu tumsaidiaje....???
 
pengine ulikuwa na tatizokama hili ukaweza kulicontrol embu saidia hata kimafumbo watu wengi utawaokoa kwa hili
 
Back
Top Bottom