we need to start somewhere mana kila kitu kina mwanzo, kwa wale wa vijijini na wakulima hela nyingi za nini? ata akipewa hiyo 200m anaenda wapi na kuzifanyia nini??? kama mbolea au trekta c vitalipwa na benki directly???? i can understand kama atataka 1m,2m,3m cash thats fine but not more than.
Kufungua account kwa vijijini they can use barua ya utambulisho toka kwa m/kiti wa mtaa pamoja na ID ya kupigia kura,dole gumba etc ect....hii kitu ikiwezekana ata wizi wa BOT ungeshindwa mana utazitoaje hela ukaweke kwenye godown mikocheni au temeke??? kuna vitu vingine uku afrika u need to force ndo viwezekane i agree italeta usumbufu kwa wakulima kupanga safari mpk to the nearest branch or bank but in the long run its good for everybody na economy....