Kutoa maji mengi wakati wa kujamiiana

Nadhani maji yakizidi yanakera!maana itabidi godoro liwekwe cover ya nylon ili issue isiloweshe godoro!!
Kama kuna watoto watakuwa wanashangaa kila siku mama anaanika godoro nje na maswali hayatakosekana!!
 
mnh humu mbona balaa..................hebu nkaombe hela ya pipi nkacheze nje
 
Sasa hapo tatizo ni nini? Labda jamaa anakufanya ufikirie vibaya ndio maana inakuharibia mashamsham.
We dada uwe unatembea na chupi extra kwenye begi, "cause you got some bomb ass pusy!!"

khaaaaaaa!
 
Dah!!!:doh::doh::doh:Kweli nimeamini kwenye miti mingi hakuna wajenzi!!!Weweee wenzio wanaenda kwa waganga japo akipigwa walau apate hata vijiko viwili wewe unataka kwenda kwa waganga wayazuie????yani wewe nitajiri ujijui!!!unamali ya gharama hivi unaichezea????Sijui niseme nini hebu ni PM ntakupa dondoo za maji hayo!!!:confused3::thinking:🙄🙄🙄:redface::A S embarassed:🙂:shock::A S-confused1::welcome::doh::A S wink::A S tongue::emptybath:
 
Pole sana Kutoa Maji maji ukeni kwa wanawake inategemea Maumbile ya mtu au pia inaweza kuwa ni maradhi Au kama unatumia vidonge vya kuzuia mimba pia inasababisha hizo dawa za kuzuia mimba maji yanatoka huko ukeni kwako bora uache

kutumia hivyo vidonge vya kuzuia mimba.Kuna Dawa inaitwa kwa kiingereza Vaginal Seed beads mbegu zake hizo weka kwenye huo utupu wako basi hiyo kisima chako cha maji maji yake yatakauka kwenye hicho kisima chako. Jaribu kisha unipe Feedback. Source: P.h.D.MziziMkavu.
 
My vagina leaks water during sex


Question

During sex I often release what I think is water from my vagina.We often need to put a towel on the bed to absorb it.What is this? And is it ok?It is not painful and it is not urine.

Answer


David writes:I suppose you're sure it's not urine? In order to find out, you could collect some, and ask a nurse to test it for you.Many women do leak a little 'pee' during sex – but this is much commoner among those who have had children, and I note from your details that this does not apply to you.The odds are that this liquid is:
  • either normal vaginal 'love juices', provoked by sexual excitement.
  • or, the mysterious sex fluid which a small proportion of women squirt out at orgasm.
Either way, I don't think you've got anything to worry about. But if you'd like further reassurance, why not go and get yourself checked out by a doctor who is experienced in sexual matters – for instance, at a genitourinary medicine (GUM) or Family

Planning Clinic.
Christine adds:One last thought. I'm not actually sure if this liquid only appears when you're very sexually excited, as you don't say.If it's not dependent on arousal, then it's just possible that it's bath water! Some women do find that

after a bath, they sometimes leak from the vagina.
You can check this more easily if you use some kind of fragrance in the water.Best wishes.Yours sincerelyDr David Delvin, GP, and Christine Webber, sex and relationships expert

ACHA KUTUMIA MAVIDONGE YA KUZUIA MIMBA TAFUTA NJIA INGINE YA KUZUIA MIMBA HAYO MAVIDONGE NDIO YANAYO KUSABABISHA WEWE UTOE MAJI MENGI KWENYE HICHO KISIMA CHAKO.
 
Reactions: JS
Nimetoka tu kufahamishwa hivi majuzi kuwa, ulaji uliopindukia wa mboga aina ya kabichi nao waweza kumsababishia mwanamke hali hii.
.......Sio kabichi peke yake hata bamia ukila sana linaweza kusababisha maji.
 

Maelezo yako ni mazuri na sahihi.
Mi napenda nimshauri hivi:
1. Kutoa maji wakati wa kujamiiana ni kitu cha kawaida. Maji hayo ni sehemu ya uumbaji wa Mungu ili kulainisha "mitambo" wakati wa kufanya tendo.
2. Kiasi cha maji yanayotoka hutofautiana mtu mmoja na mwingine.
3. Maji hayo ya kulainishia mitambo hutoka sana wakati wa mwanzo wa kunyegeka, na hukoma au kupungua kadri muda ya kufanya mapenzi unavyoendelea.
4. Jaribuni mbinu hii: fanyeni romance kwa muda mrefu ili kuyapa nafasi maji kutoka kabla ya kufanya tendo. Hii inasaidia maji kutoka na baada ya kukausha/kufuta, yanapopungua au kukatika basi mnaweza kufanya tendo wakati mashine ikiwa kavu bila utelezi unaoweza kuchelewesha orgasm. Tatizo ni kwamba wajamianaji wengi hawatoi muda wa kutosha kwa romance.
Njia hii pia husaidia sana kwa wanaume wenye tatizo la kufika kileleni mapema kabla ya wenzi wao.
Nawatakia "kuchimbana" kwenye raha na furaha.

 
Sijaelewa hata moja nimeishia ku-imagine tu ngoja nikae kando nisikilize ushauri wenu ila naona mnatisha, mko vizuri kwenye hii fani! Hongereni sana na pole kwa mwenye (sijui tuite tatizo au baraka) haya na wewe pole pia!!!

hahahahaha! Mi mwenyewe nang'aa sharubu tu hapa. Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…