Kutoa maji mengi wakati wa kujamiiana

mwambie apunguze foreplay ila nahisi utahuchubuka bure, kubali ni tatizo tu la kimaumbile,lazima ukubali kuishi na hilo tatizo kama ambavyo ungejikubali kuishi na ulemavu mwingine wowote....
 
mwambie apunguze foreplay ila nahisi utahuchubuka bure, kubali ni tatizo tu la kimaumbile,lazima ukubali kuishi na hilo tatizo kama ambavyo ungejikubali kuishi na ulemavu mwingine wowote....

Mmh, Jestina huo nao ni elemavu?
 

Wewe ni wakike au wakiume?
 
Atumie mbadala wa ndimu utapunguza tatizo kwa kiasi fulani, ila naendelea na uchunguzi ntaliweka bayana punde baada ya kumaliza research
 
Dah! Mi nikisikiaga hiyo napagawa kabisa! Yaani mwanamke anayetoa maji kwangu ni bomba sanaaa!
 
Jaman wana Jf mtoa maada anaeleza kukerwa na tatizo alafu watu wanasema ndo fresh.Wengi wetu wanaume hatupendi Gf kuwa na hali kama hiyo coz inaleta stimulation ya ovyo ovyo wakati tuna "do".kutokana na ukweli kuwa maji huwa baridi yakiwa nje ya uke na kuanza kukushitua na kukuhamisha kihisia hadi kukupelekea kufail kuendelea.HIVYO TUMSAIDIE NA WALA TUSIMCONFORT AENDELEE KUUKALIA MKAA WA MOTO.Doctors please
 
Kwa kweli hilo swala la kutoa maji hasa kwa mwanamke wakati wa tendo la ndoa ni tatizo kwa mwanaume! Inakera sana na kimsingi hufurahii tena hilo tendo na unaweza usimalize.

Kwa maoni yangu ni kwamba, maadamu mwenzetu kalia address kama tatizo, basi wanaolifurahia watulie ili wanaokerwa wapate msaada!
 
Hilo ni tatizo tena Kubwa mno. Mtera noma tena k inapiga makofi utadhania mlio wa ndala oversize
 
We ndo umejibu... Maji kwa mwanaume ni keroooo

Na yangekuwa yanavutia sijui tusingetaka Mnato..
 
watu kama nyie mnataftwa sana na Gadna!
 
Kama unakumbuka niliweka thread kuhusiana na mafuta ya miski ...bas mafuta haya yana sifa ya ajabu kuondoa tatizo lako ...ni yenye gharama ndogo ila yanatibu mambo chungunzima ...cha msing upate original yasiwe fek ..haya huwa yanatoka uarabun ila weng wanayaharibu ....KWA ushaur wasiliana nas 0712770729
 
Jamani mi Niko Tanga hapa,nawamwaga maji knoma wadigo,wasambaa,ni utundu tu wa kujua nini kifanyike,na wala si kwa wahaya tu,ke yoyote anamwaga maji.
 
Hilo ni tatizo tena Kubwa mno. Mtera noma tena k inapiga makofi utadhania mlio wa ndala oversize
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Squirting... Jamii ya kinyarwanda, banyankole, wahaya na waganda hii issue ipo sana... Wanyarwanda huita RUNKUVYA... Bongo sijajua saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…