Kutoa Makovu mwilini

Personal stories.

It is late afternoon as I approach the playground at CCBRT Disability Hospital in Tanzania. I see groups of children playing: some on wheel chairs driving around, others with artificial limbs exercising. Then I spot a young boy whose left arm is covered in a bandage, his hand looks twisted...............

details Personal Stories: CCBRT[tt_news]=58&cHash=ab6d9a3ef259a71bf8feb9a007d973fb
 
Hakika Hujafa Hujaumbika jamani!!
 
Hellow,habari?
Well, mi ningependa kujua dawa/namna,either kiasili or not,ya jinsi ya kutoa makovu ya kuungua moto,au makovu ya vidonda,kwa mtoto,na pia mtu mzima!
Shukria,
jaribu kutumia bio oil ni dawa ilyotengenezwa s.africa inapatkana kwny maduka makubwa ya madawa
 
jaribu kutumia bio oil ni dawa ilyotengenezwa s.africa inapatkana kwny maduka makubwa ya madawa

Mydear...has been a year almost.. Tangu nilete hii story..
Nilikuwa na kovu sehemu flan niliungua na uji utotoni pia na vikovu kutokana na zile tetekuwanga za utotoni,ive been using bio oil and now zote zimefutika,and nipo kama sikuwah kuwa na kovu.

Sikuwa na kovu usoni ila nilikuwa natumia kuanzia usoni napaka usiku na asubuhi pamoja na lotion ya kawaida every other day. I feel comfy now and looking natural soft and glowing.
Thanx dude,
JF daima.
 
suruhisho la matatizo ya ngozi limepatikana! kama una tatizo la ngozi usiogope tunalo suruhisho la tatizo lako la kuondoa makovu ya aina zote! kwa kutumia creme na scrub utaweza kurudisha confidence yako wasiliana nasi whats app 0764014285
 
Hellow,habari?
Well, mi ningependa kujua dawa/namna,either kiasili or not,ya jinsi ya kutoa makovu ya kuungua moto,au makovu ya vidonda,kwa mtoto,na pia mtu mzima!
Shukria,
Tumia "MEBO" ni natural ointment inapatikana maduka ya dawa. Huwa inatumika hata kufuta makobu ya operation na moto.
 
Usiwajali vijana, waache wafanye ya ujana si unajua maji ya moto hayo na kuni za kupashia nazo mfumuko wa bei umeathiri. Ndo wakati wao.
Haya, all the best na darsa hili

fanya kila kitu then ujihoji hatma yake ni nni?
 
Samahani kama nakukwaza ila nimeshangaa kidogo, unaulizia dawa ya kuondoa makovu,,mbona hapo kwenye hii comment unasema ushawahi tumia bio oil na ikasaidia sana.. Au ni mm sijaelewa..
 
Samahani kama nakukwaza ila nimeshangaa kidogo, unaulizia dawa ya kuondoa makovu,,mbona hapo kwenye hii comment unasema ushawahi tumia bio oil na ikasaidia sana.. Au ni mm sijaelewa..
Oh usijali mkuu.yes nilipata Masada hukuhuku before nilkuwa sina idea baada ya kuhangaika nakuhangaika hospital wakwawananipa cream kali but tokanianze bio oil namix na ccocoa butter kwelinashukuru. I wish I could post mypic in here.lol
 
Kumbe ni post ya siku nyingi.. Ndio naona sasa 2012.. 2yrs..
 
Yaani uso wangu hauwi smart muda wote nikaa week upo mzuri week una rashez kama kichanga nimechoka natamani nipate suluhu ya moja kwa moja
 
0766666969 tumia hiyo kwa kupiga na 0789410305kwa whatsup pekeee. kama unamatatizo ya chunusi ama madoa, weusi kuzunguka macho, michirizi kuungua na cream au jua. Makovu ya vidonda na kuungua moto.

NB..namba kwa ajili ya biashara pekee!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…