Naombeni msaada maana mara nyingi nnapokua nafanya sex na mwanamke nifikapo mwisho namwaga shahawa nyingi sana ambazo zinanifanya nisipate hamu ya kurudia tendo tena ndani ya muda mfupi. Nashindwa kujua nini chanzo cha tatizo hili na tiba yake ni nini. Imekua kero pia kwa partner wangu maana hata akitumia kitambaa kinaloa. Please naomba msaada ndani ya jukwaa hili muhimu.