samahani baada yakupewa hiyo dawa mlifanya mapenzi? maana hizo dawa hairuhusiwi mpaka dose ishe tupe ukweli kama mlifanya mapenzi ili tutoe ushauri uliokamilika
Hapana mkuu, Dr alimshauri asifanye mpaka dose iishe lakini tatizo ndo limejitokeza hivyo, ye doctor alisema ni "Hormonal Imbalancement" na akasema itajirekebisha after sometime without using medication. Sasa bado tatizo linaendelea hebu tupe ushauri mkuu
nakubariana na ushauri kingasta murudi kwa Dr harafu utupe feedback
Tafuta wa kukunyonya hizo chuchu tatizo lote kushi nehi.
Pamoja Sana mkuu, ila ningependa pia kufahamu maziwa yameanza kutoka muda kani, anakamua chuchu which is very wrong Kama anafanya hivyo na je siku
Meaning menstruation imebadilika Kivipi? Hapati au? Because if she don't get her menses and she is producing milk we have to think of Prolactinoma. Ukinijibu haya nitaweza kutoa ushauri mwingine zaidi mkuu
Jamani wana JF habari za hapa ndani, mimi nina demu wangu amepata tatizo tunashindwa kulielewa, Alichoma sindano za powersafe. soon after changes zikaanza, menstrual ikabadilika na maziwa yakaanza kutoka. hajatumia dawa yoyote.
Wana JF naombeni msaada wenu kwa sababu hali hii ni ngeni.
Mkuu mleta anahitaji kupewa ushauri Wa kitaalam, nadhani this joke can go somewhere na Kama huna mchango Wa kitaalam au Wa kumtia moyo wakati mwingine ni vyema kukaa kimya
ni kweliNimeipenda coment yako mkuu