Kutoa mimba hakukufanyi usiwe mama, unaendelea kuwa mama wa marehemu

Kutoa mimba hakukufanyi usiwe mama, unaendelea kuwa mama wa marehemu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Mabinti wengi wanatoa mimba kwa sababu mbalimbali za msingi, lakini sio za msingi sana ukilinganisha na thamani ya uhai wa mtu unayeenda kumuua.

Kibaya ambacho wanakikwepa mabinti na wanawake ni kutokuwa na mtoto kwa wakati huo, lakini Ukitoa mimba hakukufanyi usiwe mama, unaendelea kuwa mama wa marehemu
 
Wababa wengi na wamama wengi ni wazazi wa marehemu

Na haohao wababa na wamama hawana wazaliwa wa Kwanza sababu ndio wahanga wakubwa wa kuuwawa kabla ya kuzaliwa

Mungu atusaidie sana
 
Mabinti wengi wanatoa mimba kwa sababu mbalimbali za msingi, lakini sio za msingi sana ukilinganisha na thamani ya uhai wa mtu unayeenda kumuua.

Kibaya ambacho wanakikwepa mabinti na wanawake ni kutokuwa na mtoto kwa wakati huo, lakini Ukitoa mimba hakukufanyi usiwe mama, unaendelea kuwa mama wa marehemu
Ukishatia mimba hakukufanyi usiwe baba hata ikitolewa
Ni baba wa marehemu
 
Wakisema walee mimba wazae, tunawakimbja na kuwaita Singo Maza.

Wakisema walee mimba wazae .. tunawaambia, Ulizaa na Mume wa mtu, Kubali kuleaa mwenyewe

HII DUNIA, INAHARIBIWA NA WANAUME.
 
Back
Top Bottom