Kutoa motisha kwa Wanamichezo imo kwenye Ilani ya CCM, Rais Samia yuko sahihi kabisa apongezwe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kutoa motisha mbalimbali kwa Wanamichezo imo kwenye Ilani ya CCM

Rais Samia amefanya jambo jema na Ndio sababu Simba na Yanga zikawa na morari ya hali ya Juu ya kutafuta magoli

Kwaresma njema!
 
Bwashe ,kwa hiyo siku hizi ilani imekuwa gazeti la sani kwamba haina sura wala vifungu vya kunukuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…