Kutoa msaada

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Hivi ukikutana na Mtanzania Moputo, Msumbiji. Anakusimulia mkasa wake kuwa hana kazi, hana hela, anadaiwa kodi ya nyumba na ameamua kurudi nyumbani. Yeye ni Mwenyeji wa Kigoma.

Wewe unaendesha gari. Unaamua kumpa lift. Mnafika Mtwara unamwambia ashuke, msaada wako umemfikisha Tanzania umemaliza.

Utakuwa umemsaidia au unemuobgezea matatizo?
 
Hebu kwanza... huyo uliyempa lifti ni Ke/Me?
 
waafrica hatuna shukurani
 
hapo mtwara ndio ulikua mwisho wa safari yako au ulitaka tu kumvusha boda?

anyway, kwa kiasi fulani utakua umemsaidia.
 
Jinsi tunavyojua kulalamika hapo atataka umfikishe hadi kigoma na kumkabidhi kwa wazazi wake ndio aridhike!

Ila umemsaidia sana ulitakiwa umuachie na hela kidogo ya kula!
 
Jinsi tunavyojua kulalamika hapo atataka umfikishe hadi kigoma na kumkabidhi kwa wazazi wake ndio aridhike!

Ila umemsaidia sana ulitakiwa umuachie na hela kidogo ya kula!
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ WABONGO BHANA!
 
hapo mtwara ndio ulikua mwisho wa safari yako au ulitaka tu kumvusha boda?

anyway, kwa kiasi fulani utakua umemsaidia.
We jamaa ulidedia wapi na nani kakufufua?

Kama ulikuwa mwisho wa safari yake?

Na kama haukuwa mwisho wa safari yake??

Kuna kimojawapo hapo kinaweza kisiwe msaada?

Ngoja niendelee kubangua korosho kwa meno mie
 
Hapo umemuongezea matatizo kutokana na mzunguko wa pesa mtwara kwa hivi sasa mgumu atabaki kushindia majani ya mkorosho tu yaani mwendo wa kuisoma namba
 
Hapo umemuongezea matatizo kutokana na mzunguko wa pesa mtwara kwa hivi sasa mgumu atabaki kushindia majani ya mkorosho tu yaani mwendo wa kuisoma namba
Kwa hiyo ni kheri ningemuacha Moputo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…