LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
- Thread starter
-
- #21
Nakuuliza mtoa mada, nijibu then na mimi ntakujibu, Je huwa mnajisikiaje mnapokutana na mwanamke, ukaongea nae dakika mbili tu na hapo hapo unaomba namba? lengo huwa nini?
Kichwani kwa wanaume wengi duniani, kuomba namba ya simu ni kutaka kuendeleza uhusiano ambapo lengo lake kuu huwa ni Mapenzi.
kuna wengine 'uarafiki tu wa kawaida'...
Mie ukiniomba ntakwambia nipe yako ukinipa ukiondoka naichana.
Kuna kitu kinaitwa business card. Sasa hapo unaweza kupata namba ya mwanamke hata hujasema nae kabisa.
Na wengine akumege vocha na M-PESA/TIGO PESA kwanza kabla ya kukumwaga kama hakutaki.kuna wengine akikupa namba ndo 'amekubali' tongozo
kuna wengine anakupa namba kama njia ya 'kukufukuza kwa haraka' ukipiga hapokei
kuna wengine anakupa namba 'ili muwasiliane zaidi' kabla ya kukubali tongozo
kuna wengine anakupa namba kikazi zaidi,kiofisi au kibiashara zaidi,hataki mapenzi\
kuna wengine 'uarafiki tu wa kawaida'...
Hebu nitumie namba yako ya simu aiseeee!