Kutoa namba ya akaunti ya bank kwa mtu wa nje au ndani ya nchi akuingizie pesa, anaweza kukuibia?

Kutoa namba ya akaunti ya bank kwa mtu wa nje au ndani ya nchi akuingizie pesa, anaweza kukuibia?

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,013
Reaction score
1,183
Naomba kuuliza, kutoa namba ya akaunti ya bank kwa mtu wa nje au ndani ya nchi akuingizie pesa. Je, kuna uwezekano wa kukuibia pesa zako au hakuna huo uwezekano?
Naomba msaada wa maarifa tafadhali.
 
Hamna ki2 kama hcho brooh!!! Kama kungekua na uwezekano wa kuiba pesa bank kwa ku2mia account number tungekua 2shalizwa wengi!! We fikiria ukienda bank kudeposite au kuwithdraw kule kwa mateller n lazma uweke account number KASORO PASSWORD,, jiulize ni kwann bank wanasisitza kujitahd kuficha PASSWORD zako kadr uwezavyo ila hawakwambi ufiche account namba zako!! Akaunti number n kama namba zako za simu ili ukitaka m2 akutumie pesa kwa njia ya mpesa au tigopesa ni lazma awe na namba zako au kama hana umjulishe ili transactions iweze kua successful [emoji120]
 
Naomba kuuliza, kutoa namba ya akaunti ya bank kwa mtu wa nje au ndani ya nchi akuingizie pesa. Je, kuna uwezekano wa kukuibia pesa zako au hakuna huo uwezekano?
Naomba msaada wa maarifa tafadhali.
Mtu aliye nje ya nchi anahitaji vitu viwili ili akutumie pesa.

1. SWIFT code ya benki
2. Akaunti namba yako

Angalizo: Hahitaji picha ya ATM card yako ya benki. Mtumie hizo details kwa kuandika, kamwe usimpigie picha ya kadi yako ya benki, wala usimtumie namba ya kadi yako ya benki na CVV yake (iko kwa nyuma ya kadi)

Akipata namba ya kadi yako ya benki, expiry date yake, jina la kadi (hivi vipo kwenye uso wa mbele) pamoja na CVV (tarakimu tatu uso wa nyuma wa kadi) anaweza kutumia kadi yako kufanya manunuzi mtandaoni bila kuwa na PIN yako.
 
Hahá
Screenshot_2019-07-30-11-54-58.jpeg
Screenshot_2019-07-30-11-56-02.jpeg
Screenshot_2019-07-30-11-57-01.jpeg
Screenshot_2019-07-30-11-57-33.jpeg
 
Yaan haya mamho ni ya fb huko wanakuja wadada tofauti tofauti wanakuomba email yako afu anakwambia stori kibao kama alivotupia picha bingwa moja hapo juu ukijaa tu kingi umepakatwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitambo saana tena sana nlkua victim wa hizi michezo.
Kwa huruma zangu nkawa nachat nae kwanza,machale yakancheza,via address uake kwnye email nikaingia ndani zaidi na kusearch vitu flan flan,booom nkakuta vitu flan vimekua marked km scam kwnye database kadha.
Siku ananchek tena nmpe details za bank akatuma na short video za kutamanisha hhh,nkamchana ujinga wao.
Btw owa enzi zile walikua wa nigeria ndo mastermind wa michezo hii walioko india,waktumia binti zetu wenye tamaa hasa wa tz km chambo.. "Yahoo boys era"
 
Mtu aliye nje ya nchi anahitaji vitu viwili ili akutumie pesa.

1. SWIFT code ya benki
2. Akaunti namba yako

Angalizo: Hahitaji picha ya ATM card yako ya benki. Mtumie hizo details kwa kuandika, kamwe usimpigie picha ya kadi yako ya benki, wala usimtumie namba ya kadi yako ya benki na CVV yake (iko kwa nyuma ya kadi)

Akipata namba ya kadi yako ya benki, expiry date yake, jina la kadi (hivi vipo kwenye uso wa mbele) pamoja na CVV (tarakimu tatu uso wa nyuma wa kadi) anaweza kutumia kadi yako kufanya manunuzi mtandaoni bila kuwa na PIN yako.
Hapa umenena vzr, mara nyingi watu wanadhani credit card kutoa pesa mpaka mtu ajue password yako na wakati ukishapata hizo details kwisha habari labda kama credit card imezuiliwa kufanya online transaction.
 
Ila mkuu si

Kuna sehemu inakuomba uweke namba ya siri ndo iamuru Hela zitoke bank to muuzaji
 
Ila mkuu si
Kuna sehemu inakuomba uweke namba ya siri ndo iamuru Hela zitoke bank to muuzaji

Mkuu nadhani hiyo namba ya siri ni kwenye miamala ya pesa nyingi, hizi ndogondogo inatoka tuu
 
Back
Top Bottom