Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Unaibiwa ndioNaomba kuuliza, kutoa namba ya akaunti ya bank kwa mtu wa nje au ndani ya nchi akuingizie pesa. Je, kuna uwezekano wa kukuibia pesa zako au hakuna huo uwezekano?
Naomba msaada wa maarifa tafadhali.
Mtu aliye nje ya nchi anahitaji vitu viwili ili akutumie pesa.Naomba kuuliza, kutoa namba ya akaunti ya bank kwa mtu wa nje au ndani ya nchi akuingizie pesa. Je, kuna uwezekano wa kukuibia pesa zako au hakuna huo uwezekano?
Naomba msaada wa maarifa tafadhali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitambo saana tena sana nlkua victim wa hizi michezo.
Hapa umenena vzr, mara nyingi watu wanadhani credit card kutoa pesa mpaka mtu ajue password yako na wakati ukishapata hizo details kwisha habari labda kama credit card imezuiliwa kufanya online transaction.Mtu aliye nje ya nchi anahitaji vitu viwili ili akutumie pesa.
1. SWIFT code ya benki
2. Akaunti namba yako
Angalizo: Hahitaji picha ya ATM card yako ya benki. Mtumie hizo details kwa kuandika, kamwe usimpigie picha ya kadi yako ya benki, wala usimtumie namba ya kadi yako ya benki na CVV yake (iko kwa nyuma ya kadi)
Akipata namba ya kadi yako ya benki, expiry date yake, jina la kadi (hivi vipo kwenye uso wa mbele) pamoja na CVV (tarakimu tatu uso wa nyuma wa kadi) anaweza kutumia kadi yako kufanya manunuzi mtandaoni bila kuwa na PIN yako.
Kuna sehemu inakuomba uweke namba ya siri ndo iamuru Hela zitoke bank to muuzajiHapa umenena vzr, mara nyingi watu wanadhani credit card kutoa pesa mpaka mtu ajue password yako na wakati ukishapata hizo details kwisha habari labda kama credit card imezuiliwa kufanya online transaction.
Ila mkuu si
Kuna sehemu inakuomba uweke namba ya siri ndo iamuru Hela zitoke bank to muuzaji