Kutoa PENZI ili upate Tenda au umpate Mteja

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Tuseme wewe ni mfanyabiashara wa kiume unauza bidhaa au huduma fulani. Unaenda ofisi fulani binafsi au taasisi ili uwin tenda au uuze bidhaa/huduma yako.

Unakutana na binti/mdada/mmama ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kutoa tenda hiyo au kuidhinisha mauzo kwako au labda tu ana ushawishi fulani hapo. Kimuonekano anaridhisha 😆😆. Unaona kuna ugumu au usumbufu wa kupata hiyo kazi. Unaona ukioffer kumgegeda kuna uwezekano wa hiyo tenda au proposal yako kukubaliwa.

Ni maneno gani unayoweza kutumia kumwambia huyo binti/bidada/mmama bila kuitiwa polisi au kutukanwa?

Nilipoanza purukushani za biashara nilikuwa na mzee mmoja alikuwa kama ni mlezi wangu kwenye mambo ya biashara. Siku moja nilikuwa nafukuzia tenda fulani kutoka kwa mdada mmoja hivi alikuwa na biashara yake. Yule mzee akanishauri nimuofe yule binti penzi ili anipe ile tenda.

Sikufanya alivyonishauri ila ushauri wake mara nyingi naufikiliaga sana nikiwa kwenye changamoto kama hizi ila sijuagi ni maneno gani ya kutumia. Najua ni mambo yanayofanyika sana kwa hiyo msiwe wachoyo kushare mautundu.

Hapa siongelei kazi ya kuajiriwa na pia anayetoa offer ni mwanaume na mlengwa ni mdada/mwanamke.
 
ugumu unakuja kama umeishamuonyesha lengo A,ambalo ni biashara,hivyo basi chochote utakachoongea itaonekana ni kutafuta mlenda.

hivyo basi,fanya kama umeahirisha na kuachana naye kama miezi mitatu hivi,kisha ukirudi unarudi kwa gia ya mapenzi.
 
Kama ulionesha pua lako hapo na kuuza lugha ya tenda utastukiwa tu.
Cha kufanya andaa pesa ya kutapanya, ajiri kuwadi akuunganishie upige huku ukiigiza mgeni kabisa eneo hilo kisha baada ya utambulishano, ingiza hiyo gea.
 
Kwa hiyo hata kama akiwa amejua shida yangu, hakuna lugha rahisi ya moja kwa moja ya kuoffer nguvu za ziada hadi mdada wa watu akanielewa?
 
Kama ulionesha pua lako hapo na kuuza lugha ya tenda utastukiwa tu.
Cha kufanya andaa pesa ya kutapanya, ajiri kuwadi akuunganishie upige huku ukiigiza mgeni kabisa eneo hilo kisha baada ya utambulishano, ingiza hiyo gea.

Najaribu kufikiria lugha inayoeleweka kwa mlengwa lakini siyo maneno ya moja kwa moja. Mfano mtu akisema 'Sasa unaniachaje?' unajua ana maana gani.

Ukisema tu ajue unachomaanisha. Nipeni mautundu bana acheni kunibania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…