Naomba nitambulishwe kwa nini mtu anapokasirika hutoa sauti ya juu hata kama mtu anayeongea naye yupo karibu naye.
Nimemshuhudia mtu na mkewe ndani wanaongea polepole lakini inapotokea kutokuelewa kati yao basi hupandisha sauti zao.
Naomba wataalamu wa saikolojia wanifahamishe tafadhali.