Kutoa shahawa usingizini.

Gilala

Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
24
Reaction score
0
Kwanza mniwie radhi kwa Title yangu namna nilivyo iweka hapo juu.

Nikwamba mie nina Ndoo na gereni(Mke&kimada) ila nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo, mara kwa mara ninapo lala huota ndoto kuwa nipo nafanya mapenzi na mtu, nikija kushituka asubuh hujikuta chupi imelowa yote shahawa.
Zaman hii hali ilikuwa inanitoke nikimaliza cku nyingi bila kufanya, nakuwa na ugwadu najikuta nikijimalizia mwenyewe kitandani, ila sasa nina mke tena na kimada na huwa cpitishi cku mbili cjachoma.

Msaada wenu wa mawazo ikibidi hata tiba, ni aibu cku wife akija kunikuta nimelowa wakati wakati wote tupo kitanda ki1.
 
Una jini mahaba, nenda ukaombewe kanisani
 
pole, kwanza mwanaume rijali halali na chupi vipi veve vaaa boxer? pili fanya maombi au kama una imani ya upande wa kushoto nenda kapewe tiba lasini si ugojwa. tatu kama mawazo yako yanalenga sana kwenye sex nayo upunguze kwani ndoto ni mtiririko wa yale tuyawazoyo mchana. wkend njema
 


Asante kwa mtizamo wako.
 
Kama alivyo-comment bornagain, yu mkini unafanya mapenzi ndotoni na jini mahaba. Inawezekana ni kutokana na hali uliyonayo ya kuwa na "Ndoo na Gereni" kama ulivyosema, katika ulimwengu wa kiroho hao jamaa (majini mahaba) huwa yanakujia ndotoni katika sura ya mwanamke yeyote (wakati mwingine si huyo kimada wako)! Naamini utakubaliana na mimi hujawahi kujikuta katika hali hiyo ukiwa unaota kufanya mapenzi na mkeo!
 
Pole,fanya/fanyiwa maombi.
 
Heee y kimada kwan unakosa nin kwa mkeo muogope mungu utalaaniwa achana na kimada
 
hapo kikubwa ni kufanya mazoez ya viungo kwa sana, achana na fkra potof za kuzania majn, m nadhan mwl wako haupatii mazoez ya kutosha
 
da hiii kitu huwa naipenda sana??? Wewe unailani tena kama ni jini mahaba basi mim nitakuwa nimelioa kabisaaa ikiwezekana nitakuwa na nyumba ndogo kabisa sababu zaman ilikuwa daily lazima ni doo usingizini lakini now dozi imepungua sana.
 
Pat a maombez rasmi uombewe itaisha. A cha gerenvbaki na ndoo yako tu
 
Mimi huwa naipata hiyo hali nikiwa si doo km mwezi ukipita sija doo lazma shahawa zitoke lkn kwa mwezi mara 1au 2 nikifululiza kudoo hali hiyo inakoma kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…