KILA MWENYE NAMBA YA NIDA KUANZA KULIPA KODI
SERIKALI ya Tanzania, inapanga kutoa namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN), kwa kila mwananchi mwenye namba ya utambulisho wa taifa (NIDA), ili kuwezesha watanzania wenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea, kulipa kodi.
Hayo yamelezwa jana Jumanne Juni 14, 2022 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, bungeni jijini Dodoma.
Alisema, utaratibu huo utaanza kutumika kuanzia Julai Mosi, 2022.
“Kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi. Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi,” alisema Dk. Mwigulu.
Sidhani kama utafiti unaonyesha kwamba kikwazo cha mapato ni kwa TRA ni ukosefu wa Tin kwa raia.
Huwezi kuongeza Tax base bila kuongeza disposable income ya raia.
Production lazime iende sambamba na tax base kuna ukosefu wa ajira mass un employment hizo Tin zitaleta je kodi wakati raia hawana kipato
Inflation au mfumuko wa bei uko juu, kitu ambacho kina sababisha vipato vya raia vishuke, utakusanyaje kodi mpya wakati umeshindwa kudhibiti dhamani ya shilling yako.
Waziri angefanya utafiti kwanza kabla hajaja na suala la Tin kwa kila raia.