L'AMOUR
Senior Member
- Mar 8, 2011
- 111
- 24
Wan JF naomba wataalam wa lugha wanisaidie kama ni kutoa tuzo au tunzo kwa mtu anapopongezwa kwa kufanya vizuri. Pia je daktari alinatibu au anatibia ugonjwa. Ninaogopa hata kuendelea na sentensi nyingi maana nahisi kiswahili kinazidi kuwa kigumu siku hadi siku