Glas
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,243
- 1,186
Wakuu, habari zenu bhana...aisee kuna hii kitu nimejaribu kufanya kautafiti kidogo matokeo yake yananichanganya. Ni hivi, ni kwann mtu akitoa uchafu puani kwa kidole ni lazima aangalie kabla hajaamua kufuta au kutupa pembeni?? Nimejaribu kuangalia watu wengi nikiwemo mimi mara zote napotoa uchafu puani ni lazima nitaangalia kabla cjafuta. Je kuna uhusiano wowote kisaikolojia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app