Wakuu, habari zenu bhana...aisee kuna hii kitu nimejaribu kufanya kautafiti kidogo matokeo yake yananichanganya. Ni hivi, ni kwann mtu akitoa uchafu puani kwa kidole ni lazima aangalie kabla hajaamua kufuta au kutupa pembeni?? Nimejaribu kuangalia watu wengi nikiwemo mimi mara zote napotoa uchafu puani ni lazima nitaangalia kabla cjafuta. Je kuna uhusiano wowote kisaikolojia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huwa unatoa na nini mkuu?Ule uchafu (Kamasi) ni akili kwahiyo akitoa na kuangalia huwa anatazama namna akili yake ilivyo chafu.
Zama hizi bado kuna wapuuzi wanachokonoa pua na vidole!!
Du!!Si unaangalia nini kimetoka..waweza kuta umetoa kipande cha pua!!
From another galaxy....ah ah ah ahSijawahi kupatwa na huo uchafu kwa kipindi cha miaka 27 sasa.
Benzema.
Thats another issue[emoji13]Na tunaolamba je
eti mimi nachekesha [emoji23][emoji23]
Full kichefu chefuNimejuta kuiona post na 07. Ptuuuu.
Mkuu Mbao za Mawe kuna picha sio bana.
Zinapendeza kueleza kwa maandishi ili kila mmoja avute picha yake. [emoji23]
Yaani. Acha tu Mkuu.
Nimejuta kuiona post na 07. Ptuuuu.
Mkuu Mbao za Mawe kuna picha sio bana.
Zinapendeza kueleza kwa maandishi ili kila mmoja avute picha yake. [emoji23]
ni makuzi mheshimiwa nimesahau kuweka ZIHilo neno la mwisho kinasomeka hivyohivyo au kinyume?