Wakuu habari za muda huu! Napenda kujuzwa kwamba kama mtoto mchanga wa siku kama tatu hivi akilia huwa ni lazima atoe ulimi nje?? Na asipotoa ni tatizo au MziziMkavu saidia please