You might have a valid point mleta mada. Hawa ndugu zetu huwa Wanahamia nchi za watu kwa mwamvuli wa "Ukimbizi".
Wakishatulia baada ya kupata mapokezi na wenyeji,huwa wanabadilika na kutaka kubadilisha jamii kuwa ya kiSomali.
Najiuliza ni kwa nini Ulimwengu unawapa hii loophole ya UKIMBIZI!!??? Somalia inaudai Ulimwengu kitu gani??
Sina kitu baina ya Wakimbizi au Wasomali, Ila nina tatizo pale mkimbizi au Wakimbizi wanapopewa hifadhi katika nchi ya watu na kutaka kubadilisha tamaduni za wenyeji na kuleta machafuko. Pengine inaweza kuwa Jambo la busara kuweza kuwasaidia hawa jamaa wakiwa nchini kwao Somalia.
Kuna waSomali nawajua wamezaliwa hapa Tanzania ni mtu na kaka yake,kuna siku walitofautiana maneno katika hali ya kawaida...Aisee wacha wachomane visu. Kila aliyekuwa karibu alishangazwa na huo unyama wa hawa jamaa. Mind you ni mtu na kaka yake hao.
Kwa kweli inabidi kuwaangalia hawa Jamaa zetu.