Kutoboa pua Platnumz, BASATA itoe tamko kwa video zake

Nimekaa hapa Bar nashushia cocacola yangu baridi mdogomdogo, pembeni yangu hapa kuna jamaa kaikata konyagi chupa nzima na sasa anaagiza bia. Sasa ananionya kwamba cocacola sio nzuri kwa afya yangu. Sasa nimebaki nimepigwa na mshangao tu...
Mkuu coca ni kifupi cha cocaine, by da way hivi suala la kipini tuliishia wapi vile
 
Mawazo ya kitoto kweli

KUna siku utasema basata wawapangie wasanii aina ya lotion na sabuni za kufulia zitumiwe na wasanii

Dogo... acha kijana aishi maisha yake, hajakutukana wala nini
 
Kuepusha kujaziana thread za kipuuz,hakikisha unapoona picha ya jambo fulan hakikisha unapata maelezo yake kwa kina na sio kutafsir picha.
Hili swala nadhani lilishatolewa maelezo na ushahid tumeuona kwenye picha recent za Mond kuwa haikuwa real.Then hii thread inataka nin?
 
Kila mmoja anakilema chake,ebu jiangalie wewe mwenye kwanza kama huna kasoro halafu ndio nyanyuka umseme Dai..
Mbona unakua na ufisadi wa nyoka,haya tuseme amesha fungiwa unapata faida gani? ningekuelewa ungesema sio sawa
kutoboa pua,jee alivyo toboa masikio umeona ni maadili ya wapi?
 
Nani kakwambia kwamba diamond katoboa pua? Msikurupuke, diamond kabandika tu then kupiga picha, upo?
 
kwa kifupi ni amepanda daraja - masonic
 
**USHAURI WA BURE KWA BASATA**
kwa hali ya mambo ilivyo sasa basata inapaswa kuwa wakali kwa wasanii wachafu (putting deterrence) kwanza kwa kutoa leseni za kazi kwa wasanii wote ili endapo msanii inakiuka maadili ya utendaji wake anafungiwa mara moja leseni. kwa msanii kama snura na wengineo wanapaswa kufungiwa vyote video na audio kutokupigwa katika vituo vyote hapa nchini, pamoja na fine kali. wasanii huwa wana viburi kuwa ikifungiwa video bado atapiga pesa kupitia audio kwenye stations za redio, hivyo hapa dawa ni kumtisha kuwa vyote viwili (audio na video) zitafungiwa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…