ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Ajabu ni nini? Solomon Kalou na Song si wapo hapo Djibouti na walipeza EPL ulitaka Bigirimana awe na miguu 4?Bigirimama si mnadai mlimtoa New castle nyie?
Willson huruma ulimsikia alichosema jana?
Alisema yule wa New Castle ndio huyu tunayemuaona hapa taifa au huyu ni mjomba wake?
Wewe unafanya maisha yako kwa kuangalia wengine? Huweki jitihada kwa sababu kuna watu hawajafanikiwa?Kwani wakina mkude, Mohamed Hussein, John Boko n k mbona wanazeekea simba
Huyo Boko 2019 Kuna timu ilikuwa inamtaka south Africa inaitwa Polokwane kama sikoseiKwani wakina mkude, Mohamed Hussein, John Boko n k mbona wanazeekea simba
Ngasaa kacheza PSL Free States cha ajabu kipi?Huyo Boko 2019 Kuna timu ilikuwa inamtaka south Africa inaitwa Polokwane kama sikosei
Amini nakuambia kwamba, Feisal hana uwezo wa kucheza timu ingine zaidi ya Yanga hata hapa Tanzania.Mtu kama feisal anakipaji kikubwa sana lakini kutokana na timu aliyokuwa nayo wakifika CAF tu hatua na mtoano hawatoboi ndio anazidi kudidimia.
Ila kama Feisal angepata timu nzuri or yanga wangejitahidi hata kuingia makundi basi mda sana, angeshasajiliwa kwenye timu kubwa Afirca mwishowe ingekuwa ni mlango wake wa kuelekea Ulaya ila ndio hivyo anatamba na ligi ya ndani tu
Inawezekana akawa ana kipaji kizuri lakn hicho kipaji chake anakionesha akicheza dhidi ya akina nani!???
Mtu anang'aa dhidi ya akina Ruvu shooting, Mbeya City, Mbuni Fc, Friends Ranger nk lakn wakija akina Vipers, Rivers, Hilal, Zanaco mchezaji anakuwa kama bundi anaishi gizani, haonekani kabisaa,,,, atauzikaje kwenda nje!??
Yanga sio tu wachezaji hata makocha wao wakiachwa wanakuwa hawana soko tena
1. Zahera alitemwa akaenda Gwambina, akarudi Yanga kuzuga zuga, mara sasa hv kawa mchambuzi wa kujua nani kanenepa na nani hana kasi na dili zake za kuuza tshirt za Polo online
2. Cedric Kaze alitemwa akakaa kitaa, mwisho akaomba arudi kama mkalimani wa Nabi, ndipo Yanga wakamuonea huruma wakampa ass coach
Sasa angalia Makocha waliotemwa Simba
1. Didier Gómez - Alipata timu ya taifa Mauritania kushiriki Afcon
2. Sven- Alipata FAR Rabat Morroco
3. Aussems-alienda Fc Leopards South Africa
4. Goran- kaenda Al Ittihad
Kwa upande wa wachezaji Simba imeuza
1. Samatta-kwenda Tp Mazembe kisha Genk
2. Ochan- aliondoka na Samatta kwenda Mazembe
3. Henry Joseph Shindika- Kongsvinger
4. Haruna Moshi Boban
5. Okwi-Esperance de Tunis
6. Kichuya--Pharco egypt
7. Matola - Supersport Utd kwa Mandela
8. Miquissone
9. Chama
Nk nk
Hakuna mchezaji na kocha yoyote ktk ukanda huu wa East, Central and west África wasiotamani kuja SIMBA, kwasbb licha tu ya maslahi mazuri lakn ukifanya vizuri unakuza Profile yako na inakuwa rahisi kuuzika kwenda Vilabu vikubwa kuvuta mpunga mnene
Sasa wakikosa nafasi SIMBA ndipo huenda Vilabu vya chini yake huko Utopoloni
Mtu kama Aziz Ki sasa hv atakuwa mwenye majuto sana
Mdaka mishale miezi michache kabla hajaja Uto alikuwa nambari Uno pale Mali National team, ila sasa hv kila akimpigia simu Kocha wake timu ya taifa hapokei simu [emoji3]
Hao wachezaji wa Simba timu inavyofanya vizuri kimataifa mbona wapo hapa hapa hawaendi mahali wakina mkude, zimbwe junior, chama kaenda Morocco pamemshinda na wengine wengiumesema sahihi sana mkuu
Hahaha eti hampokelei simuInawezekana akawa ana kipaji kizuri lakn hicho kipaji chake anakionesha akicheza dhidi ya akina nani!???
Mtu anang'aa dhidi ya akina Ruvu shooting, Mbeya City, Mbuni Fc, Friends Ranger nk lakn wakija akina Vipers, Rivers, Hilal, Zanaco mchezaji anakuwa kama bundi anaishi gizani, haonekani kabisaa,,,, atauzikaje kwenda nje!??
Yanga sio tu wachezaji hata makocha wao wakiachwa wanakuwa hawana soko tena
1. Zahera alitemwa akaenda Gwambina, akarudi Yanga kuzuga zuga, mara sasa hv kawa mchambuzi wa kujua nani kanenepa na nani hana kasi na dili zake za kuuza tshirt za Polo online
2. Cedric Kaze alitemwa akakaa kitaa, mwisho akaomba arudi kama mkalimani wa Nabi, ndipo Yanga wakamuonea huruma wakampa ass coach
Sasa angalia Makocha waliotemwa Simba
1. Didier Gómez - Alipata timu ya taifa Mauritania kushiriki Afcon
2. Sven- Alipata FAR Rabat Morroco
3. Aussems-alienda Fc Leopards South Africa
4. Goran- kaenda Al Ittihad
Kwa upande wa wachezaji Simba imeuza
1. Samatta-kwenda Tp Mazembe kisha Genk
2. Ochan- aliondoka na Samatta kwenda Mazembe
3. Henry Joseph Shindika- Kongsvinger
4. Haruna Moshi Boban
5. Okwi-Esperance de Tunis
6. Kichuya--Pharco egypt
7. Matola - Supersport Utd kwa Mandela
8. Miquissone
9. Chama
Nk nk
Hakuna mchezaji na kocha yoyote ktk ukanda huu wa East, Central and west África wasiotamani kuja SIMBA, kwasbb licha tu ya maslahi mazuri lakn ukifanya vizuri unakuza Profile yako na inakuwa rahisi kuuzika kwenda Vilabu vikubwa kuvuta mpunga mnene
Sasa wakikosa nafasi SIMBA ndipo huenda Vilabu vya chini yake huko Utopoloni
Mtu kama Aziz Ki sasa hv atakuwa mwenye majuto sana
Mdaka mishale miezi michache kabla hajaja Uto alikuwa nambari Uno pale Mali National team, ila sasa hv kila akimpigia simu Kocha wake timu ya taifa hapokei simu [emoji3]
Endelea kufuga ujingaAmini nakuambia kwamba, Feisal hana uwezo wa kucheza timu ingine zaidi ya Yanga hata hapa Tanzania.
Kati ya wachezaji watakaoishia kubaya ni Feisal. Mwisho wa siku atarudi kucheza kwao Zanzibar au avizie club ipande daraja asajiliwe kama veterani.Endelea kufuga ujinga
Hata huyo Habib kyombo alitoka timu ndogo tu na sio hiyo timu yenu na hata hivo kashindwa akarudi huko kwenye alizeti akatafute maisha ! acheni kujifariji na porojo zenu za alfu lela ulelaSasa hao waliocheza na timu kubwa za Africa nani katoboa ? hebu baelezee !
Hawawezi kutoboa kwa kuwa hizo timu zilishajua kuwa hamshindi kwa mpira uwanjani bali mbinu zingine kama kupulizia madawa ya kuwachosha wapinzani kila sehemu watakayo kuwapo ikiwemo hotelini, kwenye usafiri hadi uwanjani kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na ndo mana timu za nje zikija hapa hata kukimbia wanakuwa hawezi wamechoooka, basi hapo ndo utamuona boko anavotimua mbio kama farasi aliekata kamba ! kumbe mshawachosha kwa madawa yenu na ndo mana timu za nyumbani zishawajulia hamtoboi mnapigwa tu magoli !
Haya huyo Salamaba yuko wapi ?Mchezaji wa mwisho kutoka yanga aliyeenda kucheza soka la nje hivi karibuni ni Simon msuva wakati simba kuna wachezaji wengi walipitia na wakapata dili nje ya Tanzania kama adam salamba yanga ni wazee wa propaganda.
Juzi kuna team iliwamwagia waarabu maji ya maiti.Sasa hao waliocheza na timu kubwa za Africa nani katoboa ? hebu baelezee !
Hawawezi kutoboa kwa kuwa hizo timu zilishajua kuwa hamshindi kwa mpira uwanjani bali mbinu zingine kama kupulizia madawa ya kuwachosha wapinzani kila sehemu watakayo kuwapo ikiwemo hotelini, kwenye usafiri hadi uwanjani kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na ndo mana timu za nje zikija hapa hata kukimbia wanakuwa hawezi wamechoooka, basi hapo ndo utamuona boko anavotimua mbio kama farasi aliekata kamba ! kumbe mshawachosha kwa madawa yenu na ndo mana timu za nyumbani zishawajulia hamtoboi mnapigwa tu magoli !
Yuko uarabuni anacheza team moja na himid mao nkame walimsajili msimu huuHaya huyo Salamaba yuko wapi ?
Habib kyombo alipata majeraha hakubahatika kucheza aliposajiliwa kimataifa kwa hyo huwezi kusema amefeli moja kwa moja.Hata huyo Habib kyombo alitoka timu ndogo tu na sio hiyo timu yenu na hata hivo kashindwa akarudi huko kwenye alizeti akatafute maisha ! acheni kujifariji na porojo zenu za alfu lela ulela
Comment bora ya mwaka huuInawezekana akawa ana kipaji kizuri lakn hicho kipaji chake anakionesha akicheza dhidi ya akina nani!???