Kutofanya mapenzi muda mrefu kunaweza badiri mfumo wa hedhi kwa msichana?

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Habari wakuu naombeni msaada juu kama nlivyouliza hapo juu
 
Hibadilishi chochote na zaidi inaimarisha mzunguko na quality ya papuchi kuwa tyt zaidi.

Kinachoharibu mzunguko ni contraceptives karibu zote kasoro condom na postinor a.k.a airbag
 
Hibadilishi chochote na zaidi inaimarisha mzunguko na quality ya papuchi kuwa tyt zaidi.

Kinachoharibu mzunguko ni contraceptives karibu zote kasoro condom na postinor a.k.a airbag
embu nieleze vizuri mkuu maana kuna mtu nimekutana nae kama week mbili zilizopita anadai haoni siku zake sasa maana yeye anapata kati ya 20-24 na pia anadai hakufanya ngono muda mrefu tangu akutane namimi hivi karibuni
 
Anadai haoni siku zake tangu tufanye ngono kama week mbili zilizopita pia anadai labda sababu hajakutana na mwanaume kwa kipindi kirefu sana
labda yai umefanya kulirutubisha na mbegu zako za kiume ( mimba tayari ), vizuri akapime kama mimba au mabadiliko ya hali ya hewa au vyakula hua vinachangi kubadili mzunguko.
 
Stress zinaweza sababisha...kubadilisha mazingira pia inachangia. Hii ya kutofanya mapenzi mda mrefu sidhani
 
embu nieleze vizuri mkuu maana kuna mtu nimekutana nae kama week mbili zilizopita anadai haoni siku zake sasa maana yeye anapata kati ya 20-24 na pia anadai hakufanya ngono muda mrefu tangu akutane namimi hivi karibuni
Mara nyingi wanawake wanapenda kufanyaga sex siku za kwenye heat. Inamaana ovulation day. Hata awe mgumu vipi ukimbananisha siku ya ovulation lazma akupe tunda la ela yote.

Jaribu kufuatilia kama ulipiga kati ya tarehe 3-7 wahi babyshop ukapate estimate ya bei za diapers na accesories nyingine za mtoto
 
Nilitumia Kinga wakuu sijafanya bila kinga
 
Hakubadili chochote...

Labda baada ya kufanya kwenye siku zake za hatari na akanasa ujauzito hapo ndiyo madabiliko yatajitokeza...


Cc: mahondaw
 
Kuchelewa kwa hedhi kunaweza kusababishwa na

1. Mabadiliko ya hormones na hasa hasa dawa za uzazi wa mpango hua sometimes zina tendency ya kuvuruga vuruga mzungukuko wa hedhi

2. Safari hasa za masafa marefu pia huweza kusababisha hedhi kuchelewa

3. Otherwise inaeza kua mimba mkuu.. na kama ulitumia kinga akiwa ovulation ( siku za hatari) na haukutumia kwa usahihi unaeza kua baba muda wowote..

Ushauri: baada ya siku 12 hadi 14 toka tendo.. kama ni implantation inakua ishafanyika mwambie akapime mimba
 
Mimba hutunga kama tendo lilifanyika 3 days before or after ovulation kama hormone zipo vizuri.
Ila huyo wako huenda anapima uwezo wako ulivyo hasa ktk kuhimili stress e.t.c
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…