Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
wanajamvi habari
kumekua na kawaida ya wanawake kufunga tumbo mara tu baada ya kujifungua ili tumbo lirudi katika hali ya kawaida,wengine hufunga kwa kanga na wengine mikanda,baadhi ya wataalamu wanasema hakuna ulazima sana wa kufunga tumbo maana litarudi lenyewe,sasa imetokea mimi baada ya kujifungua sikufunga tumbo in short lilinywea lenyewe ila siku za karibuni niliona limeanza kutokeza kwa mbali nimejaribu kufunga mkanda naona kama hausaidii,hebu nisaidieeni nilifanyeje hili tumbo maana linanikera,je kuna njia mbadala ya kulipunguza?