wanajamvi habari
kumekua na kawaida ya wanawake kufunga tumbo mara tu baada ya kujifungua ili tumbo lirudi katika hali ya kawaida,wengine hufunga kwa kanga na wengine mikanda,baadhi ya wataalamu wanasema hakuna ulazima sana wa kufunga tumbo maana litarudi lenyewe,sasa imetokea mimi baada ya kujifungua sikufunga tumbo in short lilinywea lenyewe ila siku za karibuni niliona limeanza kutokeza kwa mbali nimejaribu kufunga mkanda naona kama hausaidii,hebu nisaidieeni nilifanyeje hili tumbo maana linanikera,je kuna njia mbadala ya kulipunguza?
Mtende, pitia post yangu namba 20 hapa: Mafanikio Na Afya Njema: Maumivu ya Tumbo ya Wanawake - Natural Home Remedies for Endometriosis

mkuu nimepitia naona unazungumzia maumivu,mimi nataka kupunguza tumbo limekua kubwa baada ya kujifungua
Hicho ni kitambi ndugu yangu.
Tumbo la uzazi lilishanywea kipindi kile kile ulipomaliza kujifungua na kupumzika.
Tumbo la uzazi halina tabia ya kunywea kisha lirudi tena, likinywea limenywea!!
Ni dhana tu kuwa ukifunga tumbo litanywea, kisayansi huwa linanywea lenyewe baada ya kujifungua, kufunga tumbo kunaweza kusaidia kupunguza usumbufu(Discomfort) tu.
Dawa rahisi ya kukiondoa hicho kitambi ni Lishe(Dietary Control) na mazoezi.
wanajamvi habari
kumekua na kawaida ya wanawake kufunga tumbo mara tu baada ya kujifungua ili tumbo lirudi katika hali ya kawaida,wengine hufunga kwa kanga na wengine mikanda,baadhi ya wataalamu wanasema hakuna ulazima sana wa kufunga tumbo maana litarudi lenyewe,sasa imetokea mimi baada ya kujifungua sikufunga tumbo in short lilinywea lenyewe ila siku za karibuni niliona limeanza kutokeza kwa mbali nimejaribu kufunga mkanda naona kama hausaidii,hebu nisaidieeni nilifanyeje hili tumbo maana linanikera,je kuna njia mbadala ya kulipunguza?
mdada kila upatapo ujauzito sehemu nyingi za mwili wako hubadilika kutokana na homoni zilizopo wakati wa ujauzito
sehemu zilizobadilika hurudi katika hali ya kawaida baada ya kujifungua maana tayari homon hizo zimepungua
tumbo na uke ni kati ya sehemu hizo
sas basi kwa tumbo lako la sasa ivi ni kitambi..chakufanya ni
1,jaribu kunywa maji ya vuguvugu angalau lita moja kila siku asubuhi kabla ya kula chochote
2,punguza kula vyakula vya wanga na mafuta kwa sas
3.fanya mazoezi mepesi ya kujenga misuli ya tumbo,ili lisitanuke kwa urahisi
nadhani ukifanya ayo tumbo lako litapungua
asante sana kimetah,ila jina lako linatisha kama ugonjwa wenyewe
wanajamvi habari
kumekua na kawaida ya wanawake kufunga tumbo mara tu baada ya kujifungua ili tumbo lirudi katika hali ya kawaida,wengine hufunga kwa kanga na wengine mikanda,baadhi ya wataalamu wanasema hakuna ulazima sana wa kufunga tumbo maana litarudi lenyewe,sasa imetokea mimi baada ya kujifungua sikufunga tumbo in short lilinywea lenyewe ila siku za karibuni niliona limeanza kutokeza kwa mbali nimejaribu kufunga mkanda naona kama hausaidii,hebu nisaidieeni nilifanyeje hili tumbo maana linanikera,je kuna njia mbadala ya kulipunguza?
View attachment 99064
Mambo, forever living tuna poducts za kupunguza sehemu yoyote ambayo unataka kupungua mfano tumbo, mikono, hips etc kiasili kabisa na sio medical products kwamaana hazina chemical tazama hii video link Forever How to use Toning Kit - YouTube inaitwa Body tonic kit kama utahitaji nipigie 0713 348165
sina uhakika ila nadhi lina tofauti
samahani mkuu, tumbo linatakiwa linywee muda gani baada ya kujifungua..
mdada kila upatapo ujauzito sehemu nyingi za mwili wako hubadilika kutokana na homoni zilizopo wakati wa ujauzito
sehemu zilizobadilika hurudi katika hali ya kawaida baada ya kujifungua maana tayari homon hizo zimepungua
tumbo na uke ni kati ya sehemu hizo
sas basi kwa tumbo lako la sasa ivi ni kitambi..chakufanya ni
1,jaribu kunywa maji ya vuguvugu angalau lita moja kila siku asubuhi kabla ya kula chochote
2,punguza kula vyakula vya wanga na mafuta kwa sas
3.fanya mazoezi mepesi ya kujenga misuli ya tumbo,ili lisitanuke kwa urahisi
Nadhani ukifanya ayo tumbo lako litapungua