Kutoka 2020 - 2025, Tanzania yashuhudia ongezeko la wapiga kura kwa speed ya 7G

Akili badala ya kukaa kwenye ubongo, akili imekaa kwenye manyonyo ndo mana makubwa vile.
 
Walikuwa na jambo lao mfukoni muda mrefu hivyo hata hawakujisumbua kuangalia trend ili wafanye prediction vizuri.

Again, Unakoenda kufungia kampeni inapaswa kuwa ni ngome yako, Ngome imeongoza kwa kuwa na fujo na vifo vya mamia.

Washauri wa serikali na chama hebu fanyeni kazi yenu basi nini hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…