Kutoka 22:18 “Usimwache mwanamke mchawi aishi.

Kutoka 22:18 “Usimwache mwanamke mchawi aishi.

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
432
Reaction score
703
Je ! hii Order ya Mungu tuna itekelezaje??
Maana kuna mwanamke ana uwa kila baada ya Mwaka Ukoo unaisha na kila mtu ana mjua na yeye mweyewe ana wambia watu wata mtambua.. na akisha kwambia hivyo utaanza kumuona kupitia ndoto anavyo kutesa na baada ya Muda, Wana ukoo watakuzika.. nayeye Hafiki kwenye msiba ila anajisifu kwa uchawi na ana tisha watu, kitu kidogo tu ana kwambia utaona na usipo mfuata uka malizana naye basi humalizi Miezi mitatu utapatwa na mauza uza na magonjwa yasiyo julikana kwa vipimo vya madoctor mpka unakufa.

Hivi ninvyo ongea tume shazika wana ukoo waliyokuwa na ugomvi naye wapatao 9.

Mwanamke huyu ame maliza watoto wake kwa vifo ana ishi ndani mwenyewe Mume alisha mkimbia baada ya kumtamkia ange maliza muda wake ukifika.. .


Je hii amri ya Mungu aliyetupa tuna itekelezaje ?

# Kutoka 22:18
“Usimwache mwanamke mchawi aishi".
 
Wakati fulani naona kama Mungu ana muacha kwa kuwa sisi. tunao teswa hatu tekelezi Maandiko hayo ya usimuwache mwanamke mchawi aishi.. Hivyo Mungu anatuacha tu endelee kuupuuzwa Order yake ili tupate adhabu ya kukiuka agizo hilo.
 
Back
Top Bottom