Kutoka BBC:Man behind expenses leak revealed

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2009
Posts
2,874
Reaction score
316

Hapa na sisi tujifunze nini?

Na sisi tuombee kuwa na mtu kama John Wick Tanzania?

Mbona tunataka kuwamaliza Watu kama kina Slaa?
 
Hapa na sisi tujifunze nini?

Na sisi tuombee kuwa na mtu kama John Wick Tanzania?

Mbona tunataka kuwamaliza Watu kama kina Slaa?

Kuna mengi ya kujifunza ikiwa ni pamoja na serikali kutowatisha wananchi wake pale ambapo wanahitaji kuijua kweli kwa kisingizio cha siri za serikali. Nimeipenda hii
Metropolitan Police and the Crown Prosecution Service had said Mr Wick would not face any charges as the information is not a threat to public safety and is in the public interest
 
Tanzania kuna watu wengi serikalini wanayaona madudu kibao..wakijitokeza watu watakuja hapa JF fasta kwa kusema hao wafichua siri wana fitna na chuki binafsi...siasa zetu bado za kale...serikali itakapo kuwa ready to make people accountable for their actions then tusikia mengi kuliko tuyaonayo leo hiii..bongo watu wananyamaza wakihofia ajira zao na za familia zao..ulaya huyu jamaa i cant even imagine commission yake kutoka magazeti!
 
ulaya huyu jamaa i cant even imagine commission yake kutoka magazeti!

commission au si commission lazima ujue mahali utendaji unapovuka mpaka na ukaukemea. Huyu jamaa sidhani kama atakuwa amepata commission yeyote. Ni mtu amejitolea tu kwa KUPENDA nchi yake.

Tujiulize kwa nini watu katika nchi kama Uingereza wanafanya jambo kama hili?
Mimi nadhani ni utawala bora wa sheria. THE RULE OF LAW. Katika nchi zilizoendelea na za kidemokrasia, wanafuata mfumo wa Liberalism. Huu mfumo unasisitiza sana individual rights na freedom. Ndo maana hata Uingereza katika historia yao walimpindua mfalme baada ya kujifanya anajua na kujiweka juu ya sheria. Baada ya hapo ndo bunge la Uingereza likachukua nguvu, likiwa kama sauti ya watu. Malkia amebaki tu pale, lakini hana nguvu yeyote.
Kila mtu lazima awe chini ya sheria. Na mpaka Tanzania itakapofikia hilo, ndipo watu wataweza kujituma na tutaona maendeleo. Wawekezaji watakuja kwa wingi maana watajua kwa vyovyote sheria itawalinda. Wananchi kufanya kazi kwa bidii na kadhalika. Kwa sasa ivi sheria Tanzania inatetea wachache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…