Kutoka CBG combination naweza kusomea udaktari ?

baraka vitus

New Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Jaman nataka kujua kwa mtu aliye soma mchepuo wa CBG anaweza kusomea udaktari hapa Tanzania
 
Yes anweza lakini kwa kuanzia na ngazi ya stashahada ya clinical medicine then unaendelea na ngazi ya MD. Maana matokeo yako ya form four yataangaliwa zaidi na kwa MD ujitahidi walau upate GPA ya 3 plus at least 3.5 and above.

Kwa mitaala inayosimamiwa na NACTE utakuwa umemaliza NTA level 6 then ni rahisi kama ume qualify kuendelwa na NTA level 7 Ambayo ni ngazi ya MD.
 
si vyui vyote vinapokea cbg ila bugando- catholic university wanapokea
 
CUHAS.. Zamani ilikua inaitwa Bugando wanaweza wakakuchukua lakini uwe umefanya vizuri sana Chem na Bios ama Uanze diploma ya CLINICAL MEDICINE.. KOMAA UTATOKA, UDAKTARI UPO MIKONONI MWAKO.
 
Nimesoma hio comb pamoja na maelezo yote yalichonikuta kwenye application ni balaa we soma faulu vizuri lakini wakati wa applction utaelekezwa jinsi gani ufanye upate hio caurse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…