Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Simba mapengo FC
sasa imekuwa zoa zoa za mezani tuuu.Breaking news!! Simba wamkatia rufaa Lusajo Lawrence kwamba Ana kadi tatu za njano!!
Kwenye MEZA ya TFF au uwanjani?Hawa yanga wengine lazima tuwape haki yao, cha nguruwe tu!
Vipi rufaa yenu dhidi ya Toto kwani nayo mmeshinda Tayari kwa kumchezeaha mchezaji mwenye kadi 5 za njanoHawa yanga wengine lazima tuwape haki yao, cha nguruwe tu!
Yanga mmefungwa ngapi hebu lete hapa tujadili matokeo ya Wa kimataifa .Leo rupia haikupenyezwa