Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 995
- 1,067
Akinyonya mtoto au likinyonya jitu zima?? Isije ikawa dalili za kansa ya matitiHabari viongozi, kama kichwa hapo juu, nini inaweza kuwa sababu kutoka damu kwenye maziwa(chuchu) za mwanamke wakati WA kuyanyonya?
NB: hayana vidonda kwa nje, na damu inatokea ndani, na ni damu nzito.
Shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
Akinyonya mtoto au likinyonya jitu zima?? Isije ikawa dalili za kansa ya matiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari viongozi, kama kichwa hapo juu, nini inaweza kuwa sababu kutoka damu kwenye maziwa(chuchu) za mwanamke wakati WA kuyanyonya?
NB: hayana vidonda kwa nje, na damu inatokea ndani, na ni damu nzito.
Shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
Invisible girls jana tu nilikuwa nasoma hichi kitabu,mwandishi(Sarah) alikuwa anatoka damu kwenye matiti alipoenda kupima alikutwa na cancer ya matiti! Na ilikuwa imeshafika stage mbaya hivyo walimkata matiti yote! Sikutishi mkuu bali fanya hima huyo kiumbe aende hospital matatizo yapo mengi na tuwasihi wanawake wafanye hivyo

Upo sahihi mkuu, hiyo sio dalili nzuri aisee kabisa amuwahishe hospitali harakaInvisible girls jana tu nilikuwa nasoma hichi kitabu,mwandishi(Sarah) alikuwa anatoka damu kwenye matiti alipoenda kupima alikutwa na cancer ya matiti! Na ilikuwa imeshafika stage mbaya hivyo walimkata matiti yote! Sikutishi mkuu bali fanya hima huyo kiumbe aende hospital matatizo yapo mengi na tuwasihi wanawake wafanye hivyo