Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana sky eclat, kwa iyo sio tatizo kubwa??Mama mjamzito mishipa yake ya damu hutanuka na pressure ya damu inayokwenda kwenye pua huongezeka. Ni rahisi mishipa hii kupasuka. Hii ndiyo sababu mama wajawazito hutokwa na damu puani mara kwa mara.
Ikikutokea kaa chini na uso uuweke uusogezewmbele ya kifua. Uupandishe uso uwe juu ya usawa wa moyo.
Ziba puss kwa vidole gumba na cha shada kwa sekunde dakika 5 ukupumulia mdomo.
Weka barafu kwenye pua na uso ukiwa juu kwa dakika 10-15.
Ntamshauri Afanye haya.Mama mjamzito mishipa yake ya damu hutanuka na pressure ya damu inayokwenda kwenye pua huongezeka. Ni rahisi mishipa hii kupasuka. Hii ndiyo sababu mama wajawazito hutokwa na damu puani mara kwa mara.
Ikikutokea kaa chini na uso uuweke uusogezewmbele ya kifua. Uupandishe uso uwe juu ya usawa wa moyo.
Ziba pua kwa vidole gumba na cha shada kwa sekunde dakika 5 ukupumulia mdomo.
Weka barafu kwenye pua na uso ukiwa juu kwa dakika 10-15.
Hapana lakini likiwa linamtokea mara kwa mara monitor PBNashukuru sana sky eclat, kwa iyo sio tatizo kubwa??