Kutoka Dimba la Taifa: Taifa Stars imeifunga DR Congo goli 2 kwa nunge, katika Mchezo wa Kirafiki

Heko Taifa Stars.. Samattaaa, Kichuyaaa
 
Hahaaa na mpira umekwisha Taifa Stars 2 - 0 Kongo hongera Tanzania
 
Hongera sana stars kwa kupeperusha bendera
 
Safi Taifa Stars...nimekutana na mashabiki wa Congo hapa Millenium Towers mchana wa leo wanazozana nikajiambia hawa leo hawatakuwa na mood ya kuwachochea wachezaji wao...
 
Sasa Nyoshi Elisadati alikuwa anashangilia Congo ama TZ?
 
Nitaamini matokeo mpk nikipt nakala ya gazeti la udaku lenye kichwa cha habari STARS WAENDA WORLD CUP NI BAADA YA KUMCHAPA KABILA
 
Afadhali na sisi tume (sandula mate )maana kila siku tufungwe sie hongera taifa sitazi (stars )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…