Kutoka dinning kwenda jikoni panatakiwa kuwa na mlango wa mbao?

Kutoka dinning kwenda jikoni panatakiwa kuwa na mlango wa mbao?

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
787
Reaction score
1,056
Kama mada ilivyo wakuu, Kutoka dinning kwenda jikoni panatakiwa kuwa na mlango wa mbao wa kufunga na kufungua au Panabaki wazi?

Ikiwa panabaki wazi, haileti mwonekano tofauti kwa watu waliopo dinning kuona mazingira ya jikoni?

Nipeni uzoefu wenu wakuu.
 
Mkuu, vipi haileti taswira mbaya kwa watu waliopo dinning kuona mazingira ya jikoni?
Inategemea unavopenda kwa navyosoma comment yako inaonekana hata open kitchen haupendi,sasa tafuta mlango wa kioo weka

Ila ingekua mimi ningeacha wazi nisingeweka mlango.
 
Kama mada ilivyo wakuu, Kutoka dinning kwenda jikoni panatakiwa kuwa na mlango wa mbao wa kufunga na kufungua au Panabaki wazi?

Ikiwa panabaki wazi, haileti mwonekano tofauti kwa watu waliopo dinning kuona mazingira ya jikoni?

Nipeni uzoefu wenu wakuu.
Pawe na mlango
 
Kimuundo wa kisasa zaidi na kijanja watu hawaweki mlango Pako open kabisa
 
Hapana weka alluminium mkuu
Kama huna familia utakuja kunielewa nikisema pawe na mlango
 
Kutoka sebuleni kwenda dinning room mpaka jikoni hakuna mlango, ukiweza uweke pazia ila mlango jikoni hapana

Kumbuka lolote likitokea jikoni inabidi kuwe na pa kukimbilia,
 
Kama mada ilivyo wakuu, Kutoka dinning kwenda jikoni panatakiwa kuwa na mlango wa mbao wa kufunga na kufungua au Panabaki wazi?

Ikiwa panabaki wazi, haileti mwonekano tofauti kwa watu waliopo dinning kuona mazingira ya jikoni?

Nipeni uzoefu wenu wakuu.
Inategemea matakwa ya n'tu na n'tu. Tusikariri. Ukienda majuu utashangaa kukuta jiko na sebule viko sehemu moja.
 
Back
Top Bottom