Inategemea unavopenda kwa navyosoma comment yako inaonekana hata open kitchen haupendi,sasa tafuta mlango wa kioo wekaMkuu, vipi haileti taswira mbaya kwa watu waliopo dinning kuona mazingira ya jikoni?
Pawe na mlangoKama mada ilivyo wakuu, Kutoka dinning kwenda jikoni panatakiwa kuwa na mlango wa mbao wa kufunga na kufungua au Panabaki wazi?
Ikiwa panabaki wazi, haileti mwonekano tofauti kwa watu waliopo dinning kuona mazingira ya jikoni?
Nipeni uzoefu wenu wakuu.
Inategemea matakwa ya n'tu na n'tu. Tusikariri. Ukienda majuu utashangaa kukuta jiko na sebule viko sehemu moja.Kama mada ilivyo wakuu, Kutoka dinning kwenda jikoni panatakiwa kuwa na mlango wa mbao wa kufunga na kufungua au Panabaki wazi?
Ikiwa panabaki wazi, haileti mwonekano tofauti kwa watu waliopo dinning kuona mazingira ya jikoni?
Nipeni uzoefu wenu wakuu.